# Mipango ya moyo huwa ni ya mtu "mtu hufanya mipango katika akili zake" # kwa Yahwe huja jibu kutoka katika ulimi wake 1) Yahwe hunena jibu lake katika mipango ya mtu -maana yake Yahwe hutambua matokeo ya mipango ya mtu au 2) Yahwe huwezesha mtu kunena juu ya mipango aliyoiandaa. # jibu kutoka katika ulimi wake "jibu ambalo hunena" # Njia zote za mtu ni safi machono pake mwenyewe mtu hudhani kwamba kila kitu anachofanya ni safi" # Yahwe huipima mioyo "Yahwe hufanya uamuzi kwenye mawazo ya mtu"