sw_tn/pro/16/01.md

20 lines
510 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mipango ya moyo huwa ni ya mtu
"mtu hufanya mipango katika akili zake"
# kwa Yahwe huja jibu kutoka katika ulimi wake
1) Yahwe hunena jibu lake katika mipango ya mtu -maana yake Yahwe hutambua matokeo ya mipango ya mtu au 2) Yahwe huwezesha mtu kunena juu ya mipango aliyoiandaa.
# jibu kutoka katika ulimi wake
"jibu ambalo hunena"
# Njia zote za mtu ni safi machono pake mwenyewe
mtu hudhani kwamba kila kitu anachofanya ni safi"
# Yahwe huipima mioyo
"Yahwe hufanya uamuzi kwenye mawazo ya mtu"