sw_tn/pro/15/33.md

12 lines
227 B
Markdown

# hofu ya Yahwe hufundisha hekima
"mtu anapokuwa na hofu ya Yahwe, hujifunza kuwa na busara"
# hofu ya Yahwe
angalia 1:7
# unyenyekevu huja kabla ya heshima
mtu lazima kwanza ajifunze unyenyekevu kabla Yahwe hajamheshimu.