# hofu ya Yahwe hufundisha hekima "mtu anapokuwa na hofu ya Yahwe, hujifunza kuwa na busara" # hofu ya Yahwe angalia 1:7 # unyenyekevu huja kabla ya heshima mtu lazima kwanza ajifunze unyenyekevu kabla Yahwe hajamheshimu.