sw_tn/pro/15/27.md

12 lines
351 B
Markdown

# moyo wa mwenye haki hutafakari kabla ya kujibu
"mtu atendaye mema hutafakari cha kusema kabla ya kujibu"
# kinywa cha watu waovu humimina mabaya yake yote
"watu waovu wanasema mambo mabaya daima"
# kinywa cha watu waovu humimina mabaya yake yote
"moyo wa mtu mwovu humimina mabaya yake yote" au " vinywa vya watu waovu humwaga maovu yake yote"