# moyo wa mwenye haki hutafakari kabla ya kujibu "mtu atendaye mema hutafakari cha kusema kabla ya kujibu" # kinywa cha watu waovu humimina mabaya yake yote "watu waovu wanasema mambo mabaya daima" # kinywa cha watu waovu humimina mabaya yake yote "moyo wa mtu mwovu humimina mabaya yake yote" au " vinywa vya watu waovu humwaga maovu yake yote"