sw_tn/pro/15/11.md

20 lines
418 B
Markdown

# kuzimu na uharibifu vipo wazi mbele ya Yahwe
"Yahwe anajua kila kitu kuhusu sehemu walipo wafu"
# Je ni zaidi mara ngapi kwa mioyo ya wana wa wanadamu?
hii ni nahau kumaanisha "mawazo ya wanadamu"
# mioyo ya wana wa wanadamu
"mawazo ya wanadamu"
# mwenye dharau huchukia sahihisho
"mwenye dharau huchukia wakati wa kurudiwa"
# hatakwenda kwa wenye busara
"hatakwenda kwa wenye busara kutafuta ushauri wao"