# kuzimu na uharibifu vipo wazi mbele ya Yahwe "Yahwe anajua kila kitu kuhusu sehemu walipo wafu" # Je ni zaidi mara ngapi kwa mioyo ya wana wa wanadamu? hii ni nahau kumaanisha "mawazo ya wanadamu" # mioyo ya wana wa wanadamu "mawazo ya wanadamu" # mwenye dharau huchukia sahihisho "mwenye dharau huchukia wakati wa kurudiwa" # hatakwenda kwa wenye busara "hatakwenda kwa wenye busara kutafuta ushauri wao"