sw_tn/pro/15/09.md

16 lines
320 B
Markdown

# Yahwe huchukia njia ya watu waovu
"Yahwe huchukia namna ambavyo watu waovu huishi"
# yule ambaye huandama haki
"mtu ambaye hujitahidi kuishi kwa haki"
# yeyote ambaye huiacha njia
"yeyote ambaye huacha kuishi kwa haki"
# yeye ambaye huchukia sahihisho
"mtu ambaye huchukia wakati watu wengine wanapomwelekeza"