# Yahwe huchukia njia ya watu waovu "Yahwe huchukia namna ambavyo watu waovu huishi" # yule ambaye huandama haki "mtu ambaye hujitahidi kuishi kwa haki" # yeyote ambaye huiacha njia "yeyote ambaye huacha kuishi kwa haki" # yeye ambaye huchukia sahihisho "mtu ambaye huchukia wakati watu wengine wanapomwelekeza"