sw_tn/pro/15/07.md

16 lines
318 B
Markdown

# midomo ya watu wenye busara husambaza maarifa
"kauli ya watu wenye busara hutawanya maarifa"
# siyo mioyo ya wapumbavu
" wapumbavu hawasambazi maarifa" au " wapumbavu hawana maarifa katika mioyo yao" au "wapumbavu hawafahamu maarifa"
# watu waadilifu
"watu wanaoishi kwa haki"
# ni furaha yake
"humfurahisha"