# midomo ya watu wenye busara husambaza maarifa "kauli ya watu wenye busara hutawanya maarifa" # siyo mioyo ya wapumbavu " wapumbavu hawasambazi maarifa" au " wapumbavu hawana maarifa katika mioyo yao" au "wapumbavu hawafahamu maarifa" # watu waadilifu "watu wanaoishi kwa haki" # ni furaha yake "humfurahisha"