sw_tn/pro/15/01.md

20 lines
454 B
Markdown

# jibu la upole huodoa ghadhabu
"kumjibu mtu kwa upole kutatuliza ghadhabu ya huyo mtu"
# lakini neno la ukatili huchochea hasira
"lakini kuongea kwa ukali husababisha yule mtu kuwa na hasira zaidi"
# ulimi wa watu wenye busara hutamka maarifa
"watu werevu hutamka maarifa wanapoongea"
# hutamka maarifa
"huyafanya maarifa yavutie" au " hutumia maarifa kwa usahihi"
# kinywa cha wapumbavu humwaga upumbavu
"wapumbavu huongea upumbavu siku zote"