# jibu la upole huodoa ghadhabu "kumjibu mtu kwa upole kutatuliza ghadhabu ya huyo mtu" # lakini neno la ukatili huchochea hasira "lakini kuongea kwa ukali husababisha yule mtu kuwa na hasira zaidi" # ulimi wa watu wenye busara hutamka maarifa "watu werevu hutamka maarifa wanapoongea" # hutamka maarifa "huyafanya maarifa yavutie" au " hutumia maarifa kwa usahihi" # kinywa cha wapumbavu humwaga upumbavu "wapumbavu huongea upumbavu siku zote"