sw_tn/pro/14/30.md

24 lines
371 B
Markdown

# moyo mtulivu
" mtazamo wa amani" au "mwenendo ambao ni wa amani"
# huozesha mifupa
"husababisha mtu kukosa afya mwilini na rohoni"
# yule ambaye... yule ambaye
"mtu ambaye ... mtu ambaye"
# laana
maana yake kutamani mambo mabaya yaweze kutokea kwa mtu.
# maskini ...mhitaji
"mtu maskini...mtu mhitaji"
# huonesha fadhila kwa
"ni mkarimu kwa" au " husaidia"