# moyo mtulivu " mtazamo wa amani" au "mwenendo ambao ni wa amani" # huozesha mifupa "husababisha mtu kukosa afya mwilini na rohoni" # yule ambaye... yule ambaye "mtu ambaye ... mtu ambaye" # laana maana yake kutamani mambo mabaya yaweze kutokea kwa mtu. # maskini ...mhitaji "mtu maskini...mtu mhitaji" # huonesha fadhila kwa "ni mkarimu kwa" au " husaidia"