sw_tn/pro/14/09.md

16 lines
338 B
Markdown

# wakati dhabihu ya hatia inapotolewa
...wapumbavu hawaombi msamaha kwa Mungu au watu kwa ajili ya mambo mabaya wanayofanya.
# lakini miongoni waadilifu hushiriki fadhila
"lakini waadilifu hufurahia wema pamoja" au "Wema wa Mungu huonekana miongoni mwa waadilifu"
# uchungu
"huzuni" au "simanzi"
# hakuna mgeni
"wale wasiomfahamu"