# wakati dhabihu ya hatia inapotolewa ...wapumbavu hawaombi msamaha kwa Mungu au watu kwa ajili ya mambo mabaya wanayofanya. # lakini miongoni waadilifu hushiriki fadhila "lakini waadilifu hufurahia wema pamoja" au "Wema wa Mungu huonekana miongoni mwa waadilifu" # uchungu "huzuni" au "simanzi" # hakuna mgeni "wale wasiomfahamu"