sw_tn/pro/14/01.md

28 lines
575 B
Markdown

# huijenga nyumba yake
"huifanya nyumba yake kuwa bora"
# numba
1) nyumba halisi, ambalo ni jengo anamoishi 2) inaweza kumaanisha familia yake
# kwa mikono yake
"mikono" inawakilisha matendo anayofanya. "yeye mwenyewe" au "kwa namna ambavyo anajiheshimu"
# yeye ambaye ... yeye ambaye
"mtu ambaye ... mtu ambaye"
# huenenda kwa uadilifu
"huenenda katika njia ya haki na uaminifu katika maisha yake"
# humdharau
"kukosa adabu" au " kuonesha kuchukia"
# katika njia zake humdharau yeye
"zake" huyu ni mtu asiye mwamnifu na "yeye" ni kiwakilishi kumwakilisha Yahwe