sw_tn/pro/14/01.md

575 B

huijenga nyumba yake

"huifanya nyumba yake kuwa bora"

numba

  1. nyumba halisi, ambalo ni jengo anamoishi 2) inaweza kumaanisha familia yake

kwa mikono yake

"mikono" inawakilisha matendo anayofanya. "yeye mwenyewe" au "kwa namna ambavyo anajiheshimu"

yeye ambaye ... yeye ambaye

"mtu ambaye ... mtu ambaye"

huenenda kwa uadilifu

"huenenda katika njia ya haki na uaminifu katika maisha yake"

humdharau

"kukosa adabu" au " kuonesha kuchukia"

katika njia zake humdharau yeye

"zake" huyu ni mtu asiye mwamnifu na "yeye" ni kiwakilishi kumwakilisha Yahwe