# huijenga nyumba yake "huifanya nyumba yake kuwa bora" # numba 1) nyumba halisi, ambalo ni jengo anamoishi 2) inaweza kumaanisha familia yake # kwa mikono yake "mikono" inawakilisha matendo anayofanya. "yeye mwenyewe" au "kwa namna ambavyo anajiheshimu" # yeye ambaye ... yeye ambaye "mtu ambaye ... mtu ambaye" # huenenda kwa uadilifu "huenenda katika njia ya haki na uaminifu katika maisha yake" # humdharau "kukosa adabu" au " kuonesha kuchukia" # katika njia zake humdharau yeye "zake" huyu ni mtu asiye mwamnifu na "yeye" ni kiwakilishi kumwakilisha Yahwe