sw_tn/pro/13/21.md

16 lines
403 B
Markdown

# msiba huwakimbilia watenda dhambi
"mwenye dhambi hupata taabu popote wanapokwenda"
# watu wenye haki hupewa thawabu ya mema
"Mungu huwapa thawabu watu wenye haki kwa mema"
# wajukuu wake
"wana wa wana wake"au "watoto wa watoto wake" au "wazao wake"
# utajiri wa mwenye dhambi umehifadhiwa kwa ajili ya mtu mwenye haki
" yeye atendaye haki atapokea utajiri ambao umahifadhiwa na mwenye dhambi"