# msiba huwakimbilia watenda dhambi "mwenye dhambi hupata taabu popote wanapokwenda" # watu wenye haki hupewa thawabu ya mema "Mungu huwapa thawabu watu wenye haki kwa mema" # wajukuu wake "wana wa wana wake"au "watoto wa watoto wake" au "wazao wake" # utajiri wa mwenye dhambi umehifadhiwa kwa ajili ya mtu mwenye haki " yeye atendaye haki atapokea utajiri ambao umahifadhiwa na mwenye dhambi"