sw_tn/pro/13/11.md

28 lines
594 B
Markdown

# utajiri hudhoofika
"utajiri hupungua" au "utajiri hupotea taratibu "
# kufanya kazi kwa mkono wake
"kufanya kazi kwa nguvu za mwili"
# hufanya fedha yake istawi
"hufanya pesa yake iongezeke"
# wakati tumaini linapositishwa
"wakati mtu anapotumaini kwa ajili ya jambo lakini hapokei hadi muda mrefu"
# huvunja moyo
"husababisha huzuni kali"
# shauku ikitimizwa ni mti wa uzima
mtu akipokea ambacho alitumaini na kufurahi ni kama mti unaotoa uzima. "shauku iliyotimizwa ni kama mti wa uzima"
# mti wa uzima
"mti ambao unatoa uzima" au "mti ambao mtunda yake hutoa idhini ya uzima"