# utajiri hudhoofika "utajiri hupungua" au "utajiri hupotea taratibu " # kufanya kazi kwa mkono wake "kufanya kazi kwa nguvu za mwili" # hufanya fedha yake istawi "hufanya pesa yake iongezeke" # wakati tumaini linapositishwa "wakati mtu anapotumaini kwa ajili ya jambo lakini hapokei hadi muda mrefu" # huvunja moyo "husababisha huzuni kali" # shauku ikitimizwa ni mti wa uzima mtu akipokea ambacho alitumaini na kufurahi ni kama mti unaotoa uzima. "shauku iliyotimizwa ni kama mti wa uzima" # mti wa uzima "mti ambao unatoa uzima" au "mti ambao mtunda yake hutoa idhini ya uzima"