sw_tn/pro/13/01.md

20 lines
370 B
Markdown

# Mwana mwenye busara husikia
"Mwana mwenye busara hutii"
# hatasikiliza karipio
"hatajifunza kutokana na kukaripiwa" au "hataweza kutii japo atakaripiwa"
# kutoka kwenye matunda ya kinywa chake
"kutoka kwenye maneno ya kinywa chake " au "kutokana na usemi wake"
# hamu
shauku au kupendelea kitu
# waongo
wale ambao wapo tayari kusaliti au kuwadanganya wengine