# Mwana mwenye busara husikia "Mwana mwenye busara hutii" # hatasikiliza karipio "hatajifunza kutokana na kukaripiwa" au "hataweza kutii japo atakaripiwa" # kutoka kwenye matunda ya kinywa chake "kutoka kwenye maneno ya kinywa chake " au "kutokana na usemi wake" # hamu shauku au kupendelea kitu # waongo wale ambao wapo tayari kusaliti au kuwadanganya wengine