sw_tn/pro/12/03.md

16 lines
470 B
Markdown

# Mtu hawezi kuimarishwa kwa ubaya
"hakuna mtu anayeweza kuwa thabiti na salama kwa kufanya ubaya"
# hataweza kung'olewa
"kung'olewa" kunawakilisha kuchomolewa kutoka ardhini kama mmea au mti. Hivyo hili haliwezi kutokea kwa watu watendao haki.
# mke mwema ni taji ya mume wake
"mke mwema ni alama ya heshima kuu kwa mume wake"
# yeye aletaye aibu ni kama ugonjwa ambao huozesha mifupa yake
"matendo ya aibu ya mwanake huharibu ushawishi wa mume wake na furaha"