# Mtu hawezi kuimarishwa kwa ubaya "hakuna mtu anayeweza kuwa thabiti na salama kwa kufanya ubaya" # hataweza kung'olewa "kung'olewa" kunawakilisha kuchomolewa kutoka ardhini kama mmea au mti. Hivyo hili haliwezi kutokea kwa watu watendao haki. # mke mwema ni taji ya mume wake "mke mwema ni alama ya heshima kuu kwa mume wake" # yeye aletaye aibu ni kama ugonjwa ambao huozesha mifupa yake "matendo ya aibu ya mwanake huharibu ushawishi wa mume wake na furaha"