sw_tn/pro/10/31.md

16 lines
300 B
Markdown

# kwenye kinywa cha mtu mwenye haki
"Kwa maneno ya mtu mwenye haki"
# ulimi wa udanganyifu utakatwa
"Mungu atafunga vinywa vya watu amabo husema uongo"
# midomo ya mwenye haki huyajua yanayokubalika
"mtu mwenye haki hujua kuongoa kwa namna ya kukubalika"
# kinywa cha waovu
"maneno ya waovu"