# kwenye kinywa cha mtu mwenye haki "Kwa maneno ya mtu mwenye haki" # ulimi wa udanganyifu utakatwa "Mungu atafunga vinywa vya watu amabo husema uongo" # midomo ya mwenye haki huyajua yanayokubalika "mtu mwenye haki hujua kuongoa kwa namna ya kukubalika" # kinywa cha waovu "maneno ya waovu"