sw_tn/pro/10/01.md

16 lines
371 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari mingi katika sura ya 10 niulingafu sambamba
# mithali za Sulemani
Baada ya utangulizi katika Sura 1-9, Sura ya 10 inaanza mafundisho ya mithali; misemo mifupi inayofundisha hekima.
# kusanywa
jipatia kitu kwa kipindi
# Yahwe hataiacha nafsi ya mtu mwenye haki kwenda njaa
"Yahwe huhakikisha kwamba wale watendao haki wanapata chakula"