# Maelezo ya Jumla Mistari mingi katika sura ya 10 niulingafu sambamba # mithali za Sulemani Baada ya utangulizi katika Sura 1-9, Sura ya 10 inaanza mafundisho ya mithali; misemo mifupi inayofundisha hekima. # kusanywa jipatia kitu kwa kipindi # Yahwe hataiacha nafsi ya mtu mwenye haki kwenda njaa "Yahwe huhakikisha kwamba wale watendao haki wanapata chakula"