sw_tn/pro/09/10.md

32 lines
769 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii inahitimisha ujumbe wa Hekima
# Hofu ya Yahwe
angalia katika 1:7
# kwa njia yangu siku zako zitazidishwa
"Nitazidisha siku zako" au " Nitasababisha uishi siku nyingi"
# kwa njia yangu
Hekima, imepewa utu kama wanamke, anaendelea kuongea hapa.
# siku zako zitazisishwa, na utaongezewa miaka ya uzima
...hekima inafaida kubwa
# utaongezewa miaka ya uzima
Nitaongeza miaka ya maisha yako" au "Nitaongeza miaka katika maisha yako" au "Nitakuwezesha kuishi muda mrefu"
# Kama ni mwenye... na kama ni mwenye dharau
watu wenye busara hufaidika wenyewe kwa sababu ya hekima yao, na wenye dharau huteseka kwa sababu ya tabia zao.
# utaichukua
Tabia mbaya wa mtu ni kama mzigo mzito ambao mtu huyo hupaswa kuubeba mgongoni mwake.