# Maelezo ya Jumla Mistari hii inahitimisha ujumbe wa Hekima # Hofu ya Yahwe angalia katika 1:7 # kwa njia yangu siku zako zitazidishwa "Nitazidisha siku zako" au " Nitasababisha uishi siku nyingi" # kwa njia yangu Hekima, imepewa utu kama wanamke, anaendelea kuongea hapa. # siku zako zitazisishwa, na utaongezewa miaka ya uzima ...hekima inafaida kubwa # utaongezewa miaka ya uzima Nitaongeza miaka ya maisha yako" au "Nitaongeza miaka katika maisha yako" au "Nitakuwezesha kuishi muda mrefu" # Kama ni mwenye... na kama ni mwenye dharau watu wenye busara hufaidika wenyewe kwa sababu ya hekima yao, na wenye dharau huteseka kwa sababu ya tabia zao. # utaichukua Tabia mbaya wa mtu ni kama mzigo mzito ambao mtu huyo hupaswa kuubeba mgongoni mwake.