sw_tn/pro/08/17.md

20 lines
319 B
Markdown

# nawapenda
Huu ni upendo wa asili kati ya marafiki au ndugu
# bidii
kuedelea kwa nguvu na uangalifu
# Kwangu kuna utajiri na heshima
"Mimi ninautajiri na heshima"
# utajiri unaodumu na haki
"kwa hiyo, nitatoa utajiri wa kudumu na haki kwa wale wanaonitafuta"
# haki
"uwezo wa kuishi aktika njia iliyo safi"