# nawapenda Huu ni upendo wa asili kati ya marafiki au ndugu # bidii kuedelea kwa nguvu na uangalifu # Kwangu kuna utajiri na heshima "Mimi ninautajiri na heshima" # utajiri unaodumu na haki "kwa hiyo, nitatoa utajiri wa kudumu na haki kwa wale wanaonitafuta" # haki "uwezo wa kuishi aktika njia iliyo safi"