sw_tn/pro/08/04.md

24 lines
480 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Hekima ananena kwa watu katika mistari 4-36
# sauti yangu ni kwa ajili ya wana wa wanadamu
Hapa "sauti" inawakilisha maneno yote yaliyoongewa "maneno yangu ni kwa ajili ya wana wa wanadamu"
# wana wa wanadamu
"watu wote"
# wajinga
"bila uzoefu, isiyo komavu/uchanga"
# kujifunza hekima
"kujifunza namna watu wenye busara hutenda" au "kujifunza maana ya kuwa mwenye busara"
# lazima mpate akili ya ufahamu
"lazima muanze kufahamu vitu kwa akili zenu"