# Maelezo ya Jumla Hekima ananena kwa watu katika mistari 4-36 # sauti yangu ni kwa ajili ya wana wa wanadamu Hapa "sauti" inawakilisha maneno yote yaliyoongewa "maneno yangu ni kwa ajili ya wana wa wanadamu" # wana wa wanadamu "watu wote" # wajinga "bila uzoefu, isiyo komavu/uchanga" # kujifunza hekima "kujifunza namna watu wenye busara hutenda" au "kujifunza maana ya kuwa mwenye busara" # lazima mpate akili ya ufahamu "lazima muanze kufahamu vitu kwa akili zenu"