sw_tn/pro/08/01.md

28 lines
558 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Hekima ananena kwa watu katika mistari 4-36
# Maelezo ya Jumla
Mistari mingi katika sura ya 8 ni mlinganisho au usambamba
# Je Hekima haiti?
Hekima anaita
# Je Hekima haiti?
Maana yake 1)Je hekima siyo kama mwanamke ambaye huita? 2) Je mwanamke aitwaye Hekima haiiti?
# Je Ufahamu hapazi sauti yake?
Hapa neno "Ufahamu" ni sawa na neno "Hekima"
# malango kwenye njia ya kuingia mjini
Nyakati za kale, miji mara nyingi ilikuwa na kuta za nje pamoja malango.
# anaita
Hekima imevikwa sifa ya utu kama mwanamke(angalia Tashhisi)