# Maelezo ya Jumla Hekima ananena kwa watu katika mistari 4-36 # Maelezo ya Jumla Mistari mingi katika sura ya 8 ni mlinganisho au usambamba # Je Hekima haiti? Hekima anaita # Je Hekima haiti? Maana yake 1)Je hekima siyo kama mwanamke ambaye huita? 2) Je mwanamke aitwaye Hekima haiiti? # Je Ufahamu hapazi sauti yake? Hapa neno "Ufahamu" ni sawa na neno "Hekima" # malango kwenye njia ya kuingia mjini Nyakati za kale, miji mara nyingi ilikuwa na kuta za nje pamoja malango. # anaita Hekima imevikwa sifa ya utu kama mwanamke(angalia Tashhisi)