sw_tn/pro/07/04.md

24 lines
527 B
Markdown

# Mwabie hekima, "Wewe ni dada yangu"
"Thamini hekima kama ambavyo ungempenda dada yako"
# mwite ufahamu jamaa yako
"ufahamu uchukulie kama ambavyo ungemtendea jamaa yako"
# jamaa
"ndugu" au "mmoja wa wanafamilia"
# mwanamke malaya
Maana yake ni mwanamke yeyote ambaye mwanaume hajamwoa. " Mwanamke ambaye hupaswi kufanya naye chochote"
# Mwanamke mwovu
Hii inamaanisha ni kwa mwanamke yoyote ambaye hajulikani kwa mwanaume
# kwa maneno yake laini
"ambaye huongea vitu vya kufurahisha, lakini anataka kukudanyanya"