# Mwabie hekima, "Wewe ni dada yangu" "Thamini hekima kama ambavyo ungempenda dada yako" # mwite ufahamu jamaa yako "ufahamu uchukulie kama ambavyo ungemtendea jamaa yako" # jamaa "ndugu" au "mmoja wa wanafamilia" # mwanamke malaya Maana yake ni mwanamke yeyote ambaye mwanaume hajamwoa. " Mwanamke ambaye hupaswi kufanya naye chochote" # Mwanamke mwovu Hii inamaanisha ni kwa mwanamke yoyote ambaye hajulikani kwa mwanaume # kwa maneno yake laini "ambaye huongea vitu vya kufurahisha, lakini anataka kukudanyanya"