sw_tn/pro/06/17.md

28 lines
424 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Hii ni orodha ya vitu ambayo Yahwe huchukia kama vilivyotajwa katika 6:16
# macho...ulimi... mikono... moyo...miguu
Sehemu zote hizi za mwili zinamwelezea mwandamu kamili "watu"
# humwaga damu ya
"kuua" au "uuaji wa mtu kwa kusudi"
# njama mbaya
"mipango miovu"
# anong'onaye uongo
"kusema uongo siku zote"
# mafarakano
agalia 6:14
# mtu apandaye mafarakano
"mtu amabaye huondoa maelewano"