# Sentensi Unganishi Hii ni orodha ya vitu ambayo Yahwe huchukia kama vilivyotajwa katika 6:16 # macho...ulimi... mikono... moyo...miguu Sehemu zote hizi za mwili zinamwelezea mwandamu kamili "watu" # humwaga damu ya "kuua" au "uuaji wa mtu kwa kusudi" # njama mbaya "mipango miovu" # anong'onaye uongo "kusema uongo siku zote" # mafarakano agalia 6:14 # mtu apandaye mafarakano "mtu amabaye huondoa maelewano"