sw_tn/pro/06/12.md

16 lines
440 B
Markdown

# Mtu asyefaa...mtu mwovu
inasisitiza juu ya ubaya wa huyu mtu "mtu asiyekuwa na thamani-mtu mwovu"
# huishi kwa udanganyifu wa kauli zake
"husema uongo daima"
# hukonyeza macho yake, akifanya viashiria kwa miguu yake na kusonta kwa vidole vyake
Hii ni vile mtu mwovu huwasiliana kwa siri ili kudanganya watu wengine.
# hukonyeza macho yake
mtu akikonyeza hufumba jicho moja kwa muda mfupi kama kiashiria cha siri kwa mtu mwingine.