# Mtu asyefaa...mtu mwovu inasisitiza juu ya ubaya wa huyu mtu "mtu asiyekuwa na thamani-mtu mwovu" # huishi kwa udanganyifu wa kauli zake "husema uongo daima" # hukonyeza macho yake, akifanya viashiria kwa miguu yake na kusonta kwa vidole vyake Hii ni vile mtu mwovu huwasiliana kwa siri ili kudanganya watu wengine. # hukonyeza macho yake mtu akikonyeza hufumba jicho moja kwa muda mfupi kama kiashiria cha siri kwa mtu mwingine.