sw_tn/pro/05/01.md

16 lines
210 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mwandishi ananena kama baba anayewafundisha watoto wake.
# tega masikio yako
"sikiliza kwa makini"
# busara
angalia 1:4
# midomo yako iyalinde maarifa
"utaongea ambacho ni ukweli tu"