# Maelezo ya Jumla Mwandishi ananena kama baba anayewafundisha watoto wake. # tega masikio yako "sikiliza kwa makini" # busara angalia 1:4 # midomo yako iyalinde maarifa "utaongea ambacho ni ukweli tu"