sw_tn/pro/02/20.md

20 lines
417 B
Markdown

# kwa hiyo
mwandishi anasema faida za kupata ufahamu na busara
# utatembea katika njia... fuata njia
utaishi katika njia... kufuata mfano
# waovu wataondolewa kutoka katika nchi
"Yahwe atawaondoa waovu kutoka katika nchi"
# waovu... wasioamini
"wale ambao ni waovu ... wale wasiokuwa na imani" au "watu waovu ... watu wasioamini"
# wasioamini wataondolewa katika nchi
ambao hawaamini atawaondoa katika nchi